Hatua za dharura zinahitajika wakati huu Malawi ikikabiliwa na Ukame mkali Attribution+  — Takriban watu milioni tisa nchini Malawi wanakumbwa na athari mbaya za mafuriko na ukame unaosababishwa na El Niñohali iliyo haribu mavuno na kupelekea ongezeko la viwango njaa na utapiamlo. ... Habari za UN 2 hr
Idadi ya watu waliopoteza makazi kutokana na migogoro na ghasia imeongezeka duniani Public Domain  — Migogoro na ghasia zimesababisha idadi ya watu duniani waliopoteza makazi ndani ya nchi zao IDPs, kuvunja recodi kufikia milioni 75.9, ikiwa takribani nusu yake kutoka nchi za kusini mwa jangwa la sahara, kulingana na repoti ya kituo cha kufuatilia IDPs, IDMC. ... Sauti ya Amerika 3 hr
Kukabiliana na sintofahamu ili kuhakikisha safari za UNHAS zinaendelea Haiti Attribution+  — Wanawake wawili wanaohusika katika shughuli za kila siku za shirika la Umoja wa Mataifa la huduma za anga za kibinadamu, linayojulikana kama UNHAS nchini Haiti, wanasema wanapaswa kukabili hatari na msongo wa mawazo ili kufanya ndege hizo ziendelee kuruka. ... Habari za UN 3 hr
DRC: Mapigano makali kati ya FARDC na M23 yarindima Kikuku, Kivu Kaskazini Attribution+  —  Tangu Jumanne, Mei 14, mapigano makali yanapamba moto kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 karibu na mji wa Kikuku, katika eneo la Rutshuru. Mapigano haya yalianza saa 11 alfajiri. ... Radio France Internationale 3 hr
Kwa Undani Public Domain  — Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari. ... Sauti ya Amerika 4 hr
Msumbiji: Maswali kufuatia kifo cha balozi wa Urusi yakosa majibu Attribution+  —  Nchini Msumbiji, mwili wa balozi wa Urusi ulipatikana katika makazi yake Mei 11, 2024 huko Maputo. Kifo ambacho kilisababisha kufunguliwa kwa uchunguzi wa mahakama na mazingira ya kifo hiki hayajajulikana na hivyo kuzuawimbi la maswali nchini Msumbiji. ... Radio France Internationale 4 hr
Muhtasari wa habari: Polio nchini Malawi na Msumbiji, Mauaji Gaza, Nishati safi ya kupikia Afrika Attribution+  — Kufuatia tathmini za kina nchini Malawi na Msumbiji, Timu huru ya Tathmini ya Kukabiliana na Mlipuko wa Polio (OBRA) leo Mei 14 imependekeza kufikia ukomo wa mlipuko wa virusi vya polio aina ya 1 (WPV1) nchini Malawi na Msumbiji, kuashiria hatua muhimu katika mapambano dhidi ya polio katika eneo la Afrika. ... Habari za UN 4 hr
Kwa nini Kiswahili hakijawa lugha inayounganisha Afrika? CC BY  — Ushawishi wa kigeni pia huenda ukatatiza “kukubalika” kwa Kiswahili. Afrika kwa sasa inategemea pakubwa China kwa msaada wa kifedha. Na kwa upande wake, China inatumia nafasi hiyo, kupenyeza lugha ya Mandarin katika nchi nyingi za Afrika, ambazo ni pamoja na Kenya. ... Global Voices 4 hr
Wasiwasi watanda katika jimbo la Kivu Kusini, DRC, baada ya watu 18 kuuawa na watu wanaodhaniwa kuwa... Public Domain  — Wasiwasi watanda katika jimbo la Kivu Kusini, DRC, baada ya watu 18 kuuawa na watu wanaodhaniwa kuwa waasi wa ADF ... Sauti ya Amerika 5 hr
Guterres asikitishwa na mashambulizi yanayoendelea Rafah Attribution+  — Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataiafa Antonio Guterres amesikitishwa na kuongezeka kwa shughuli za kijeshi ndani na karibu na eneo la Rafah zinazofanywa na jeshi la Israeli. ... Habari za UN 6 hr
Duniani Leo Public Domain  — Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari ... Sauti ya Amerika 6 hr
Ramaphosa akanusha njama za kisiasa kusababisha kurudi kwa umeme Afrika Kusini Public Domain  — Rais Cyril Pamaphosa wa Africa ya kusini amekanusha madai ya upinzani kwamba kusitishwa hivi karibuni ugavi wa umeme  inatokana na uchaguzi ujao wa mai 29. ... Sauti ya Amerika 6 hr
Wakati mashambulizi ya Israel yakiendelea kurindima, wanagaza 450,000 waikimbia Rafah Attribution+  — Eneo kubwa la mji wa Gaza sasa limekuwa “Mji uliotelekezwa” yameripoti mashirika ya Umoja wa Mataifa ya misaada ya kibinadamu hii leo jumanne wakati takriban wananchi wa Gaza 450,000 wakilazimishwa kuondoka eneo hilo kuelekea eneo la kusini zaidi mwa mji kufuatia amri ya kuondoka iliyotolewa na Israel wiki iliyopita.  ... Habari za UN 8 hr
Vijana wa Uganda walalamikia tozo mbalimbali wakisema ni vizingiti kwa wanaotaka kuanzisha biashara ... Public Domain  — Vijana wa Uganda walalamikia tozo mbalimbali wakisema ni vizingiti kwa wanaotaka kuanzisha biashara ndogondogo ... Sauti ya Amerika 8 hr
Idadi ya raia wanaokufa yaongezeka wakati Israel ikizidisha mashambulizi Gaza Public Domain  — Idadi ya Raia wanaokufa  inaendelea kuongezeka wakati Israel ikiwa imezidisha  mashambulizi upande wa kaskazini na kusini mwa Gaza siku ya Jumatatu. ... Sauti ya Amerika 8 hr
Ugunduzi na ujasiriamali vyaunganisha wahitimu SUA na soko la mazao Dubai Attribution+  — Jukwaa la 5 la Kimataifa kuhusu uwekezaji kwa wajasiriamali likianza huko Manama, Bahrain washirki wameweka bayana ni kwa jinsi gani wanatekeleza wito wa Umoja wa Mataifa wa kuchochea ugunduzi na ujasiriamali kama njia mojawapo ya kufanikisha ukuaji uchumi na hatimaye kusongesha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs. ... Habari za UN 8 hr
Majeshi ya Israeli yamerejea kuendeleza mapigano upande wa Ukanda wa Gaza Public Domain  — Majeshi ya Israeli yamerejea kuendeleza mapigano upande wa kaskazini wa Ukanda wa Gaza. ... Sauti ya Amerika 9 hr
Maafisa 9 wa Tunisia, akiwemo mkuu wa Shirikisho la Kuogelea wafunguliwa mashitaka Attribution+  —  Mkuu wa Shirikisho la Kuogelea la Tunisia (FTN) na mkuu wa shirika la kupambana na dawa za kuongeza nguvu mwilini wako chini ya ulinzi wa polisi na uchunguzi wa kimahakama umefunguliwa baada ya kufichwa kwa bendera ya Tunisia wakati wa hafla ya michezo, Msemaji wa ofisi ya mashtaka, Ben Arous, ameliambia sjirika la habari la AFP. ... Radio France Internationale 9 hr
EU yapitisha mkataba kuhusu wahamiaji lakini nchi zinataka kwenda mbali zaidi Attribution+  —  Nchi za Umoja wa Ulaya zimetoa idhni yao ya mwisho Jumanne kwa mkataba wa uhamiaji na hifadhi, mageuzi makubwa ambayo yanaimarisha udhibiti wa uhamiaji barani Ulaya, lakini baadhi ya nchi hizo zinataka kwenda mbali zaidi. ... Radio France Internationale 9 hr
Kiwango cha ukosefu wa ajira chaongezeka hadi 32.9% nchini Afrika Kusini Attribution+  —  Kiwango cha ukosefu wa ajira kimepanda katika robo ya kwanza ya mwaka nchini Afrika Kusini, ishara inayotia wasiwasi kwa serikali wiki chache kabla ya uchaguzi wenye ushindani mkubwa tangu miongo kadhaa. ... Radio France Internationale 9 hr
Kuelekea uchaguzi wa Mwezi Novemba nchini Marekani kati ya Rais Joe Biden na Donald Trump nini cha ... Public Domain  — Siasa za Marekani kuelekea uchaguzi ... Sauti ya Amerika 10 hr
Marekani kuendelea kuisaidia Ukraine katika vita vyake na Urusi: Blinken Attribution+  —  Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Antony Blinken anayezuru nchini Ukraine, amethibitisha kwamba msaada wa kijeshi kutoka nchi yake unatarajiwa kuwasili Kyiv na kwamba utaleta utofauti mkubwa katika uwanja wa mapigano. ... Radio France Internationale 10 hr
ICJ kusikiliza ombi la Afrika kusini kuitaka Israeli isitishe oparesheni Rafah Attribution+  —  Mahakama ya kimataifa kuhusu haki (ICJ) imesema itasikiliza ombi la Afrika Kusini kuitaka kutoa agizo la dharura kuizuia Israeli kuendelea na oparesheni zake za kijeshi katika mji wa Rafah. ... Radio France Internationale 10 hr
Vurugu dhidi ya watu kutoka jamii ya LGBT+ zakithiri barani Ulaya Attribution+  —  Unyanyasaji dhidi ya walio wachache wa kijinsia umeongezeka kwa miaka mitano, kulingana na Shirika la Ulaya la Haki za Msingi (FRA), ambalo matokeo ya utafiti wake uliochapishwa leo Jumanne yanajumuisha "ishara ya wazi". ... Radio France Internationale 11 hr
Vita Gaza: Netanyahu azungumzia vifo vya watu 30,000, nusu yao ni wapiganaji wa Hamas Attribution+  —  Waziri Mkuu wa Israel anakadiria kuwa karibu "wapiganaji 14,000 wameuawa na pengine takriban raia 16,000", jumla ya watu 30,000 waliuawa katika Ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa vita. ... Radio France Internationale 11 hr
Urusi inazidisha mapigano karibu na Kharkiv dhidi ya Ukraine Attribution+  —  Katika siku ya nne ya mashambulizi mapya ya Urusi katika jimbo la Kharkiv, Jumanne Mei 14, hali inaonekana kuwa mbaya katika mikoa ya mpaka kati ya Ukraine na Urusi. Mwaka mmoja na nusu baada ya Ukraine kujibu kwa mashambulizi makali ambayo yalifanya iwezekane kuifukuza Urusi kutoka katika viunga vya mji wa pili wa nchi hiyo, mstari mpya unaundwa, mapigano yanazidi na mji wa mpaka wa Vovchansk umezingirwa na vikosi vya Warusi. Je, Kharkiv inakabiliwa tena na tishio? ... Radio France Internationale 14 hr
Wapalestina 14 wameuwa katika mashambulio ya Israeli kwenye kambi ya wakimbizi Attribution+  —  Ndege za kivita za Israeli zimeshambulia kwa mabomu kambi ya wakimbizi ya Nuseirat katikati ya mji wa Gaza na kuwauwa Wapalestina 14, wakiwemo watoto. ... Radio France Internationale 16 hr
DRC: Muungano wa Union Sacrée watofautiana kuhusu nyadhifa za uongozi bungeni Attribution+  —  Nchini Jamhruri ya Kidemokrasia ya Congo, muungano wa Union Sacre wake rais Felix Tshisekedi, umewaganyika kuhusu namna ya kugawana nyadhifa tano kati ya sita, zinazowaniwa kwenye uongozi wa bunge nchini humo. ... Radio France Internationale 16 hr
Kenya: Waziri wa kilimo Mithika Linturi aponea mswada wa kumuondoa ofisini Attribution+  —  Waziri wa kilimo nchini Kenya Mithika Linturi , ameponea kutimuliwa katika wadhifa wake kufuatia kashfa ya mbolea feki, baada ya kamati maalum  iliyokuwa ikichunguza tuhuma dhidi yake  pamoja na bunge kutomkuta na hatia. ... Radio France Internationale 16 hr
Blinken afanya ziara ya kushtukiza nchini Ukraine kuihakikishia uungwaji mkono wa Marekani Attribution+  —  Mkuu wa diplomasia ya Marekani Antony Blinken amewasili leo Jumanne asubuhi mjini Kyiv kwa ziara ya kushtukiza inayokusudiwa kuwahakikishia wananchi wa Ukraine juu ya kuendelea kuungwa mkono na Marekani, na kuahidi kupewa silaha nyingi wakati ambapo Urusi inaongoza mashambulizi katika jimbo la Kharkiv, kaskazini-mashariki mwa Ukraine. ... Radio France Internationale 16 hr
Kenya: Wanafunzi wanazidi kuwasili shuleni baada ya mvua kubwa kupungua Attribution+  —  Wanafunzi wanaendelea kurejea shulueni baada ya Jumatatu ya wiki hii, zaidi ya asilimia 90 ya shule kufunguliwa siku chache kupita tangu watu zaidi ya 200 wafariki kutokana na mafuriko, ambapo Serikali ilitangaza kuzifunga kutokana na athari za mvua. ... Radio France Internationale 17 hr
Mafuriko nchini Indonesia: Hamsini wafariki, 27 hawajulikani waliko (ripoti mpya) Attribution+  —  Mafuriko na tope baridi hutiririka kutoka kwenye volcano siku ya Jumamosi kwenye kisiwa cha Sumatra, magharibi mwa Indonesia, yalisababisha vifo vya watu 50 na 27 kutoweka, kulingana na ripoti rasmi iliyochapishwa leo Jumanne.  ... Radio France Internationale 17 hr
Mali: Mashirika ya kiraia yapinga kuongezewa kuwa muda wa utawala wa kijeshi Attribution+  —  Vyama kadhaa vya kisiasa na mashirika ya kiraia, Jumatatu ya wiki hii yametoa tangazo kukataa hitimisho la mkutano wa mazungumzo ya kitaifa, yaliyoandaliwa na utawala wa kijeshi, ambapo yalipendekeza jeshi kuongezewa muda zaidi kuongoza. ... Radio France Internationale 17 hr
Aliyekuwa Katibu mkuu wa EAC anatarajiwa kuhojiwa na Kamati  ya sheria, haki, na hadhi ya bunge la J... Public Domain  — Aliyekuwa Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr Peter Mathuki  anatarajiwa kuhojiwa na Kamati  ya sheria, Haki, na Hadhi ya Bunge la Jumuiya  hiyo juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi yake ikiwemo ya matumizi mabaya ya madaraka,ofisi na mali za Jumuiya. ... Sauti ya Amerika 18 hr
Kwa nini Marekani imeamua kusitisha usafirishaji wa baadhi ya shehena za silaha kwenda Israel? Public Domain  — Huku Marekani hivi karibuni iliamua kusitisha usafirishaji wa baadhi ya shehena kwa Israel, vita huko Gaza sasa vimekuwa ni sehemu ya mjadala mkali sana kuhusu kampeni ya Rais wa Marekani. ... Sauti ya Amerika 18 hr
Wapalestina wafurika mitaa ya Deir al-Balah huku wimbi la watu likielekea katikati ya Gaza Public Domain  — Wapalestina wafurika mitaa ya Der Al Bala wakati wimbi la watu likielekea katikati ya Gaza wakati vikosi vya Israel vikiingia kwa nguvu kaskazini na kusini mwa Ukanda huo. ... Sauti ya Amerika 18 hr
Watu watatu wamefikishwa mahakama ya London kwa kusaidia ujasusi Public Domain  — Watu wote kutoka kusini mashariki mwa Uingereza walikamatwa mwezi huu na kushtakiwa kwa uingiliaji wa kigeni ... Sauti ya Amerika 18 hr
Marekani na Pakistan zimehitimisha mazungumzo ya kupambana na ugaidi Public Domain  — Mkutano huo umekuja wakati kukiwa na ongezeko la ugaidi nchini Pakistan na kusababisha vifo vya mamia ya watu. ... Sauti ya Amerika 18 hr
EU imeelezea wasiwasi kuhusu vurugu za baada ya uchaguzi wa Chad Public Domain  — Baada ya matokeo kutangazwa wanajeshi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu wa Chad, N'Djamena, ... Sauti ya Amerika 18 hr
Biden ametoa amri ya kuzuia kampuni ya madini kumiliki ardhi huko Wyoming Public Domain  — Pia inalazimisha kuondolewa kwa vifaa vinavyomilikiwa na MineOne Partners ambayo kwa sehemu inamilikiwa na serikali ya China. ... Sauti ya Amerika 18 hr
Rais Biden ametoa amri ya kuzuia kampuni ya madini ya Cryptocurrenvy inayoungwa mkono na China kumil... Public Domain  — Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. ... Sauti ya Amerika 19 hr
Ufilipino yakusanya sampuli za viumbe vya baharini vilivyouwawa na China Public Domain  — Walinzi wa Pwani wa Ufilipino (PCG) wameazimia kuendeleza uwepo wao katika eneo lenye mzozo la bahari ya South China Sea kuhakikisha kuwa China haitekelezi harakati zake za kurejesha eneo la Sabina Shoal, msemaji wake alisema Jumatatu (Mei 13). ... Sauti ya Amerika 19 hr
Misaada ya kibinadamu inapungua Gaza; anasema Naibu msemaji wa UN Public Domain  — Bado hakuna usafirishaji wa bidhaa za kibinadamu zinazopitia kwenye kivuko cha Rafah ambacho kimefungwa, anasema Farhan Haq ... Sauti ya Amerika 19 hr
Mashambulizi yanayofanywa na Israel yaitikisa Gaza, vita kuhamia Rafah Public Domain  — Milipuko mikubwa ya mabomu inayotokana na mashambulizi ya anga na mizinga iliyorushwa iliutikisa upande wa kaskazini mwa Gaza kuanzia Jumamosi (Mei 11), moshi uliokuwa ukitoka katika  majengo ulionekana kutoka Israel huku mapigano kati ya Israel na Hamas yakiendelea. ... Sauti ya Amerika 19 hr
Michael Cohen ameeleza kilichojiri 2016 kuhusu malipo ya siri kwa Stormy Daniels Public Domain  — Cohen alisema malipo yalikuwa kumzuia Daniels kutozungumza kuhusu mahusiano yake na Trump na halafu Trump alimlipa Cohen ... Sauti ya Amerika 20 hr
Ripoti ya UNODC: Licha ya juhudi kubwa, ujangili wa wanyamapori bado unaendelea Attribution+  — Licha ya juhudi zinazoendelea kufanyika ulimwenguni kwa takriban miongo miwili zaidi ya aina 4,000 za wanyamapori  wenye thamani bado wanakabiliwa na ujangili  kila mwaka, hii ni kulingana na ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la dawa na uhalifu, UNODC. ... Habari za UN 20 hr
Chad: Kiongozi wa upinzani awasilisha rufaa kupinga matokeo ya uchaguzi Public Domain  — Kiongozi wa upinzani nchini Chad Succes Masra amewasilisha rufaa ya kisheria kwa baraza la katiba la nchi hiyo kupinga matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais, uliofanyika tarehe 6 mwezi huu, nchini humo. ... Sauti ya Amerika 21 hr
Mfanyakazi wa UN auawa huko Gaza; Guterres ataka uchunguzi kufanyika Attribution+  — Mfanyikazi wa Idara ya Usalama na Ulinzi ya Umoja wa Mataifa (DSS) amefariki na mwingine kujeruhiwa wakati gari lao la Umoja wa Mataifa liliposhambuliwa walipokuwa wakisafiria kwenda Hospitali ya Europe huko Rafah, Gaza hii leo Jumatatu. ... Habari za UN 1 d
Mauaji ya 2009 nchini Guinea: Waathiriwa wanadai kutambuliwa kwa uhalifu dhidi ya binadamu Attribution+  —  Mawakili wa waathiriwa wa kesi ya kihistoria ya mauaji yaliyofanywa mwaka 2009 nchini Guinea wameomba siku ya Jumatatu kwamba tuhuma zilizoshikiliwa dhidi ya washtakiwa 11 kuainishwa kama uhalifu dhidi ya binadamu, wakati wa ufunguzi wa kesi hiyo. ... Radio France Internationale 1 d
Rais wa Uturuki anasema 'karibu wanachama 1,000 wa Hamas' wanatibiwa nchini mwake Attribution+  —  Karibu wanachama 1,000 wa Hamas kwa sasa wanatibiwa katika hospitali za Uturuki. Hivi ndivyo Recep Tayyip Erdogan amesema siku ya Jumatatu, Mei 13, wakati wa mkutano na waandishi wa habari na Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis, ambaye alimpokea kama sehemu ya ongezeko la mvutano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili. Inatosha kukumbusha uhusiano wa karibu kati ya Ankara na Hamas, wakati rais anaelezea Israeli kama taifa la "kigaidi". ... Radio France Internationale 1 d